IQNA – Mamlaka katika mji mtukufu wa Madina zimeripoti kuwa tani 3,360 za maji ya Zamzam zimetumiwa katika Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi ndani ya kipindi cha siku 15.
Habari ID: 3480784 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/03
IQNA – Zaidi ya waumini milioni 122 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka ambao unajulkana kama Masjid Al Haram na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina amba oni maarufu kama Al Masjid an Nabawi katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480473 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30
IQNA – Zaidi ya milo milioni 17 ya Futari au Iftar imesambazwa katika Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume Madina (Al Masjid an Nabawi) katika wiki tatu za kwanza za mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu..
Habari ID: 3480448 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/27
IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudia ya Huduma za Mambo ya Msikiti Mkuu wa Makka, Masjidul al Haram na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi, imetangaza kwamba usajili wa itikafu kwenye maeneo hayo mawili matakatifu utaanza Jumatano, Machi 5.
Habari ID: 3480289 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02
Umrah
IQNA – Al Rawda Al Sharifa katika Al Masjid An Nabawi yaani Msikiti wa Mtume mjini Medina ilitembelewa na zaidi ya waumini 367,000 wiki iliyopita.
Habari ID: 3480003 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/04
IQNA – Wanafunzi zaidi ya 60,000 wa kiume na wa kike wanahudhuria miduara ya kuhifadhi Qur’ani (Halaqat) na masomo mbalimbali ya Kiislamu (Mutun) kila siku katika Msikiti wa Mtume huko Madina.
Habari ID: 3479968 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/28
Maeneo Matakatifu
IQNA - Msikiti wa Mtume (al-Masjid an-Nabawi ) huko Madina ulikaribisha waumini na wageni 6,771,193 katika wiki iliyopita.
Habari ID: 3479930 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/21
Al-Masjid an-Nabawi
IQNA - Mamlaka nchini Saudi Arabia imeanzisha mfumo wa rangi maalumu katika kila mlango wa kutoka katika al-Masjid an-Nabawi (Msikiti wa Mtume –SAW-)huko Madina, eneo la pili takatifu katika Uislamu, ili kurahisisha urambazaji kwa waumini.
Habari ID: 3479801 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/24
Umrah
IQNA - Msikiti wa Mtume Muhammad (SAW) maarufu kama al-Masjid an-Nabawi huko Madina, Saudi Arabia, ulikaribisha Waislamu milioni 5.7 wiki iliyopita, kulingana na takwimu rasmi.
Habari ID: 3479358 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31
Masjid an Nabawi
IQNA - Zaidi ya waumini milioni 74.5 walitembelea Msikiti wa Mtume (pia unajulikana kama Al Masjid an Nabawi) katika mji mtakatifu wa Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu, kulingana na takwimu rasmi.
Habari ID: 3478942 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/07
Al-Masjid An-Nabawī
IQNA - Mamlaka za Saudia zimeripoti kuwa zaidi ya waumini milioni 5.9 walitembelea Msikiti wa Mtume (Al-Masjid An-Nabawī) wiki iliyopita.
Habari ID: 3478735 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/26
Umrah na Ramadhani
IQNA - Katika nusu ya kwanza ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, karibu Waislamu milioni 15 walikwenda kwenye Msikiti wa Mtume SAW yaani Al-Masjid an-Nabawi huko Madina, eneo la pili takatifu katika Uislamu, kulingana na afisa wa Saudia.
Habari ID: 3478601 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/29
Al-Masjid an-Nabawi
IQNA – Msikiti wa Mtume (SAW) Al-Masjid an-Nabawi katika mji wa Madina nchini Saudia ulishuhudia Waislamu wengi wakitiririka katika siku za kwanza za mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu, huku zaidi ya waumini milioni 5.2, wakiwemo wanaoshiriki Hija ndogo ya Umrah wakiingia katika msikiti huo kwa ajili ya Sala za kila siku.
Habari ID: 3478532 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/17
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Mazulia katika Al-Rawdah Al-Sharifa katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina yamebadilishwa kwa ajili ya maandalizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478460 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/06
Mwezi wa Ramadhani
IQNA - Zaidi ya milo ya Iftar (futari) milioni 8.5 itagawiwa kwa waumini katika Msikiti wa Mtume SAW, Al Masjid An Nabawi huko Madina wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478338 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/11
Umrah
IQNA - Wizara ya Hija na Umrah ya Saudi Arabia imetangaza kuwa kila mwenye kushiriki katika ibada ya Hija ndogo ya Umra anaruhusiwa kutembelea Al-Rawdah Al-Sharifa katika mji mtakatifu wa Madina mara moja tu kwa mwaka.
Habari ID: 3478085 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24
Umrah 1445
MEDINA (IQNA) - Msikiti wa Mtume (SAW), Al Masjid An Nabawi, eneo la pili kwa utakatifu katika Uislamu, ulishuhudia wimbi kubwa la waumini wiki iliyopita, shirika la serikali liliripoti.
Habari ID: 3477902 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/17
Al-Masjid an-Nabawi
MADINA (IQNA) - Zaidi ya mahujaji milioni nne wametembelea Msikiti wa Mtume SAW ambao ni maarufu kama Al-Masjid an-Nabawi huko Madina katika wiki moja, mamlaka ya Saudi inasema.
Habari ID: 3477242 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/05
Al-Masjid an-Nabawī
TEHRAN (IQNA) – Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawī ) huko Madina, ni mojawapo ya maeneo takatifu zaidi katika Uislamu, na umetembelewa na waumini zaidi ya milioni 200 tangu mwanzo wa mwaka huu wa Kiislamu. Hayo yamedokezwa na Urais Mkuu wa Masuala ya Misikiti Miwili Mitakatifu. .
Habari ID: 3477072 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30
Habari za Madina
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya chupa milioni 2.2 za maji ya Zamzam ziligawiwa waumini waliofika katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu wa Hijri.
Habari ID: 3476144 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25